Psalms 68:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mungu ataviponda vichwa vya maadui zake, naam, vichwa vya wanaoshikilia njia mbaya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakika Mungu ataponda vichwa vya adui zake, vichwa vya hao wanaoenda katika njia za dhambi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naam, Mungu atakipasua kichwa cha adui zake, Utosi wenye nywele wa mtu afulizaye kukosa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu ataviponda vichwa vya maadui zake, naam, vichwa vya wanaoshikilia njia mbaya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakika Mungu ataponda vichwa vya adui zake, vichwa vya hao waendao katika njia za dhambi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakika Mungu ataponda vichwa vya adui zake, vichwa vya hao waendao katika njia za dhambi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naam, Mungu atakipasua kichwa cha adui zake, Utosi wenye nywele wa mtu afululizaye kukosa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu ataviponda vichwa vya maadui zake, naam, vichwa vya wanaoshikilia njia mbaya.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini vichwa vyao wachukivu wake Mungu ataviponda, nazo tosi zao wafulizao kukora manza zitachujuka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naam, Mungu atakipasua kichwa cha adui zake, Utosi wenye nywele wa mtu afulizaye kukosa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu wetu ni Mungu mwenye kutuokoa; Bwana wetu Yawe pekee ndiye anayeokoa katika kifo.