Psalms 68:24 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Mungu, misafara yako ya ushindi yaonekana; misafara ya Mungu wangu, mfalme wangu, hadi patakatifu pake!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mungu, maandamano yako yameonekana, maandamano ya Mungu wangu, Mfalme wangu, yakielekea patakatifu pake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Mungu, wameiona miendo yako; Miendo ya Mungu wangu, Mfalme wangu, katika patakatifu
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mungu, misafara yako ya ushindi yaonekana; misafara ya Mungu wangu, mfalme wangu, hadi patakatifu pake!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee Mungu, maandamano yako yameonekana, maandamano ya Mungu wangu, Mfalme wangu, yakielekea katika mahali patakatifu pake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee Mungu, maandamano yako yameonekana, maandamano ya Mungu wangu, Mfalme wangu, yakielekea patakatifu pake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee Mungu, wameiona miendo yako; Miendo ya Mungu wangu, Mfalme wangu, katika patakatifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mungu, misafara yako ya ushindi yaonekana; misafara ya Mungu wangu, mfalme wangu, hadi patakatifu pake!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watu huwatazama wanaokuendea, Mungu, wakimwendea patakatifu aliye Mungu wangu hata mfalme wangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee Mungu, wameiona miendo yako; Miendo ya Mungu wangu, Mfalme wangu, katika patakatifu
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
usafishe miguu katika damu ya waadui zako, nao imbwa wako wapate posho yao.”