Psalms 68:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Msifuni Mungu katika jumuiya kubwa ya watu. Msifuni Mwenyezi-Mungu, enyi wazawa wa Israeli!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Msifuni Mungu katika kusanyiko kubwa, msifuni Mwenyezi Mungu katika kusanyiko la Israeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mhimidini Mungu katika mikutano, Bwana katika makusanyiko ya Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Msifuni Mungu katika jumuiya kubwa ya watu. Msifuni Mwenyezi-Mungu, enyi wazawa wa Israeli!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Msifuni Mungu katika kusanyiko kubwa, msifuni BWANA katika kusanyiko la Israeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Msifuni Mungu katika kusanyiko kubwa, msifuni bwana katika kusanyiko la Israeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mhimidini Mungu katika mikutano, Bwana katika makusanyiko ya Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Msifuni Mungu katika jumuiya kubwa ya watu. Msifuni Mwenyezi-Mungu, enyi wazawa wa Israeli!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mnapokusanyika mtukuzeni Mungu Bwana, ninyi mnywao maji kisimani kwao Waisiraeli!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mhimidini Mungu katika mikutano, Bwana katika makusanyiko ya Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mbele waimbaji, nyuma wanamuziki, katikati wabinti wanavumisha ngoma.