Psalms 68:27 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwanza ni Benyamini, mdogo wa wote; kisha viongozi wa Yuda na kundi lao, halafu wakuu wa Zebuluni na Naftali.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Liko kabila dogo la Benyamini likiwaongoza, wakifuatwa na kundi kubwa la watawala wa Yuda, hatimaye watawala wa Zabuloni na Naftali.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yuko Benyamini mdogo, mtawala wao; Wakuu wa Yuda, kundi lao; Wakuu wa Zabuloni; Wakuu wa Naftali.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwanza ni Benyamini, mdogo wa wote; kisha viongozi wa Yuda na kundi lao, halafu wakuu wa Zebuluni na Naftali.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kuna kabila dogo la Benyamini, likiwaongoza, wakifuatwa na kundi kubwa la watawala wa Yuda, hatimaye watawala wa Zabuloni na Naftali.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Liko kabila dogo la Benyamini likiwaongoza, wakifuatwa na kundi kubwa la watawala wa Yuda, hatimaye watawala wa Zabuloni na Naftali.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yuko Benyamini mdogo, mtawala wao; Wakuu wa Yuda, kundi lao; Wakuu wa Zabuloni; Wakuu wa Naftali.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwanza ni Benyamini, mdogo wa wote; kisha viongozi wa Yuda na kundi lao, halafu wakuu wa Zebuluni na Naftali.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wako wa Benyamini aliye mdogo, tena huwatawala, wako wakuu wa Yuda walio vikosi vizima, wako wakuu wa Zebuluni, nao wa Nafutali!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yuko Benyamini mdogo, mtawala wao; Wakuu wa Yuda, kundi lao; Wakuu wa Zabuloni; Wakuu wa Naftali.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Mumusifu Mungu katika mukutano. Mumusifu Yawe, enyi wazao wa Israeli!”