Psalms 68:28 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Onesha, ee Mungu, nguvu yako kuu; enzi yako uliyotumia kwa ajili yetu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mungu, amuru uwezo wako, Ee Mungu tuoneshe nguvu zako, kama ulivyofanya hapo awali.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Mungu, uziamuru nguvu zako; Ee Mungu, uwe hodari uliyetufanyia makuu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Onesha, ee Mungu, nguvu yako kuu; enzi yako uliyotumia kwa ajili yetu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee Mungu, amuru uwezo wako, Ee Mungu tuonyeshe nguvu zako, kama ulivyofanya hapo awali.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee Mungu, amuru uwezo wako, Ee Mungu tuonyeshe nguvu zako, kama ulivyofanya hapo awali.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee Mungu, uziamuru nguvu zako; Ee Mungu, uwe hodari uliyetufanyia makuu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Onesha, ee Mungu, nguvu yako kuu; enzi yako uliyotumia kwa ajili yetu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mungu wako ameviagiza vitakavyokupa nguvu; Mungu, ufulize kuyatia nguvu uliyotufanyizia!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee Mungu, uziamuru nguvu zako; Ee Mungu, uwe hodari uliyetufanyia makuu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwanza ni Benjamina, mudogo wa wote; kisha waongozi wa Yuda na kundi lao, halafu wakubwa wa Zebuluni na Nafutali.