Psalms 68:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini waadilifu hufurahi ajapo Mungu, hushangilia na kuimba kwa furaha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Bali wenye haki na wafurahi, washangilie mbele za Mungu, wafurahi na kushangilia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bali wenye haki hufurahi, Na kuushangilia uso wa Mungu, Naam, hupiga kelele kwa furaha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini waadilifu hufurahi ajapo Mungu, hushangilia na kuimba kwa furaha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Bali wenye haki na wafurahi, washangilie mbele za Mungu, na wafurahi na kushangilia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Bali wenye haki na wafurahi, washangilie mbele za Mungu, wafurahi na kushangilia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bali wenye haki hufurahi, Na kuushangilia uso wa Mungu, Naam, hupiga kelele kwa furaha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini waadilifu hufurahi ajapo Mungu, hushangilia na kuimba kwa furaha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini waongofu hufurahi na kushangilia kwa kuchangamka na kuona furaha mbele ya Mungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bali wenye haki hufurahi, Na kuushangilia uso wa Mungu, Naam, hupiga kelele kwa furaha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama moshi unavyopeperushwa na upepo, ndivyo nao wanavyopeperushwa; kama inta inavyoyeyuka karibu na moto, ndivyo waovu wanavyoangamia mbele ya Mungu!