Psalms 68:30 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uwakemee wale wanyama wakaao bwawani, kundi la mabeberu na fahali, mpaka mataifa hayo yakupe heshima na kodi. Uwatawanye hao watu wenye kupenda vita!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mkemee mnyama aliye kwenye matete, kundi la mafahali kati ya ndama za mataifa. Na walete minara ya madini ya fedha wakinyenyekea. Tawanya mataifa yapendayo vita.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mkemee mnyama wa manyasini; Kundi la mafahali, na ndama za watu; Hata wanyenyekee na kuleta vipande vya fedha, Uwatawanye watu wapendao vita.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uwakemee wale wanyama wakaao bwawani, kundi la mabeberu na fahali, mpaka mataifa hayo yakupe heshima na kodi. Uwatawanye hao watu wenye kupenda vita!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mkemee mnyama aliyeko kwenye manyasi, kundi la mafahali katikati ya ndama za mataifa. Wakiwa wamenyenyekea na walete minara ya madini ya fedha. Tawanya mataifa yapendayo vita.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mkemee mnyama aliyeko kwenye manyasi, kundi la mafahali katikati ya ndama za mataifa. Na walete minara ya madini ya fedha wakinyenyekea. Tawanya mataifa yapendayo vita.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mkemee mnyama wa manyasini; Kundi la mafahali, na ndama za watu; Hata wanyenyekee na kuleta vipande vya fedha, Uwatawanye watu wapendao vita.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uwakemee wale wanyama wakaao bwawani, kundi la mabeberu na fahali, mpaka mataifa hayo yakupe heshima na kodi. Uwatawanye hao watu wenye kupenda vita!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
karipia nyama wakaao bwawani! ndio wakorofi wote, huwa ng'ombe wakali wanaowakanyaga ndama, kwani ni fedha tu, wanazozitamani. Nayo makabila ya watu wapendao vita yatapanye kabisa!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mkemee mnyama wa manyasini; Kundi la mafahali, na ndama za watu; Hata wanyenyekee na kuleta vipande vya fedha, Uwatawanye watu wapendao vita.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kutoka katika hekalu lako, Yerusalema, ambapo wafalme watakufikia na zawadi zao,