Psalms 68:31 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mabalozi watakuja kutoka Misri, Waethiopia watamletea Mungu mali zao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wajumbe watakuja kutoka Misri; Kushi atajisalimisha kwa Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Masheki watakuja kutoka Misri, Kushi itamnyoshea Mungu mikono yake mara.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mabalozi watakuja kutoka Misri, Waethiopia watamletea Mungu mali zao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wajumbe watakuja kutoka Misri, Kushi atajisalimisha kwa Mungu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wajumbe watakuja kutoka Misri, Kushi atajisalimisha kwa Mungu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Masheki watakuja kutoka Misri, Kushi itahimiza kumnyoshea Mungu mikono yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mabalozi watakuja kutoka Misri, Waethiopia watamletea Mungu mali zao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, wakuu wa Misri watakapotokea, nao watu weusi, ndio watakaoviinua mikono yao kumwelekea Mungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Masheki watakuja kutoka Misri, Kushi itamnyoshea Mungu mikono yake mara.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
uwakaripie wale nyama wanaokaa katika matete, kundi la mabeberu na ngombe dume, mpaka mataifa hayo yakupe heshima na kodi. Uwatawanye hao watu wenye kupenda vita!