Psalms 68:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
dunia ilitetemeka, mbingu zilitiririsha mvua; kwa kuweko kwako, Mungu wa Sinai, naam, kwa kuweko kwako, Mungu wa Israeli!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
dunia ilitikisika, mbingu zikanyesha mvua, mbele za Mungu, Yule wa Sinai, mbele za Mungu, Mungu wa Israeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nchi ilitetemeka Naam, mbingu zilidondoka usoni pa Mungu; Hata Sinai usoni pa Mungu; Mungu wa Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
dunia ilitetemeka, mbingu zilitiririsha mvua; kwa kuweko kwako, Mungu wa Sinai, naam, kwa kuweko kwako, Mungu wa Israeli!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
dunia ilitikisika, mbingu zikanyesha mvua, mbele za Mungu, Mungu wa Mlima Sinai, mbele za Mungu, Mungu wa Israeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
dunia ilitikisika, mbingu zikanyesha mvua, mbele za Mungu, Yule wa Sinai, mbele za Mungu, Mungu wa Israeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nchi ilitetemeka Naam, mbingu zilidondoka usoni pa Mungu; Hata Sinai usoni pa Mungu; Mungu wa Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
dunia ilitetemeka, mbingu zilitiririsha mvua; kwa kuweko kwako, Mungu wa Sinai, naam, kwa kuweko kwako, Mungu wa Israeli!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ndipo, nchi ilipotetemeka, nazo mbingu zikanyesha maji, Mungu huyu alipotokea kule Sinai, alipotokea yeye Mungu aliye Mungu wao Waisiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nchi ilitetemeka Naam, mbingu zilidondoka usoni pa Mungu; Hata Sinai usoni pa Mungu; Mungu wa Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Mungu, ulipowaongoza watu wako, uliposafiri kule katika jangwa,