Psalms 69:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Kwa Mwimbishaji: Mtindo wa Yungiyungi. Zaburi ya Daudi) Uniokoe, ee Mungu; maji yamenifika shingoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mungu, niokoe, kwa maana maji yamenifika shingoni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Mungu, uniokoe, Maana maji yamefika mpaka nafsini mwangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uniokoe, ee Mungu; maji yamenifika shingoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Kwa Mwimbishaji: Mtindo wa Yungiyungi. Zaburi ya Daudi) Ee Mungu, uniokoe, kwa maana maji yamenifika shingoni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee Mungu, niokoe, kwa maana maji yamenifika shingoni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee Mungu, uniokoe, Maana maji yamefika mpaka nafsini mwangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uniokoe, ee Mungu; maji yamenifika shingoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Na uniokoe, wewe Mungu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee Mungu, uniokoe, Maana maji yamefika mpaka nafsini mwangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa mukubwa wa waimbaji. Kwa mutindo wa wimbo “Mayungiyungi.” Zaburi ya Daudi.