Psalms 69:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nilipojinyenyekesha kwa kufunga, watu walinilaumu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ninapolia na kufunga, lazima nivumilie matusi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nilipolia na kuiadhibu roho yangu kwa kufunga, Ikawa laumu juu yangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nilipojinyenyekesha kwa kufunga, watu walinilaumu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ninapolia na kufunga, wao hunitukana kwa kufanya hivyo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ninapolia na kufunga, lazima nivumilie matusi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nilipolia na kuiadhibu roho yangu kwa kufunga, Nikalaumiwa kwa hayo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nilipojinyenyekesha kwa kufunga, watu walinilaumu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani kwa ajili ya Nyumba yako wivu unanila, nayo masimango yao wanaokusimanga yameniguia mimi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nilipolia na kuiadhibu roho yangu kwa kufunga, Ikawa laumu juu yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Upendo wangu kwa ajili ya nyumba yako unanichoma. Matusi wanayokutukana yananiangukia.