Psalms 69:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nilipovaa vazi la gunia kuomboleza, wao walinidharau.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ninapovaa gunia, watu hunidharau.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nilipofanya gunia kuwa nguo zangu, Nikawa mithali kwao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nilipovaa vazi la gunia kuomboleza, wao walinidharau.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nilipovaa nguo ya gunia, nilikuwa kitu cha kudharauliwa na watu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ninapovaa nguo ya gunia, watu hunidharau.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nilipofanya gunia kuwa nguo zangu, Nikawa kifani cha dharau kwao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nilipovaa vazi la gunia kuomboleza, wao walinidharau.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikalia pamoja na kujiumiza kwa kufunga, lakini wao wananisimangia navyo hivyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nilipofanya gunia kuwa nguo zangu, Nikawa mithali kwao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nilipojinyenyekeza kwa kufunga kula chakula, watu walinilaumu.