Psalms 69:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wananisengenya mabarabarani; walevi wanatunga nyimbo juu yangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wale wanaoketi mlangoni wananisimanga, nimekuwa wimbo wa walevi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Waketio langoni hunisema, Na nyimbo za walevi hunidhihaki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wananisengenya mabarabarani; walevi wanatunga nyimbo juu yangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wale wanaoketi mlangoni wananisimanga, nimekuwa wimbo wa walevi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wale wanaoketi mlangoni wananisimanga, nimekuwa wimbo wa walevi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Waketio langoni hunisema, Na nyimbo za walevi hunidhihaki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wananisengenya mabarabarani; walevi wanatunga nyimbo juu yangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikatumia gunia kuwa vazi langu, nikawa kwao kama fumbo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Waketio langoni hunisema, Na nyimbo za walevi hunidhihaki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nilipovaa gunia kwa kuomboleza, nikageuka kuwa wimbo kwao.