Psalms 69:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini mimi nakuomba wewe, ee Mwenyezi-Mungu; nikubalie ombi langu wakati unaopenda, ee Mungu. Kwa wingi wa fadhili zako unijibu. Wewe ni mkombozi wa kuaminika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Ee Mwenyezi Mungu, ninakuomba, kwa wakati ukupendezao; katika upendo wako mkuu, Ee Mungu, unijibu kwa wokovu wako wa hakika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami maombi yangu nakuomba Wewe, Bwana, Wakati ukupendezao; Ee Mungu, Kwa wingi wa fadhili zako unijibu, Katika kweli ya wokovu wako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini mimi nakuomba wewe, ee Mwenyezi-Mungu; nikubalie ombi langu wakati unaopenda, ee Mungu. Kwa wingi wa fadhili zako unijibu. Wewe ni mkombozi wa kuaminika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini Ee BWANA, ninakuomba, kwa wakati ukupendezao, katika upendo wako mkuu; Ee Mungu, unijibu kwa wokovu wako wa hakika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini Ee bwana, ninakuomba, kwa wakati ukupendezao; katika upendo wako mkuu, Ee Mungu, unijibu kwa wokovu wako wa hakika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami maombi yangu nakuomba Wewe, BWANA, Wakati ukupendezao; Ee Mungu, Kwa wingi wa fadhili zako unijibu, Katika kweli ya wokovu wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini mimi nakuomba wewe, ee Mwenyezi-Mungu; nikubalie ombi langu wakati unaopenda, ee Mungu. Kwa wingi wa fadhili zako unijibu. Wewe ni mkombozi wa kuaminika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wanaokaa langoni hunicheka, nao walevi hupiga mazeze ya kunifyoza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami maombi yangu nakuomba Wewe, BWANA, Wakati ukupendezao; Ee Mungu, Kwa wingi wa fadhili zako unijibu, Katika kweli ya wokovu wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nimekuwa kichekesho kwa watu katika barabara; walevi wanatunga nyimbo juu yangu.