Psalms 69:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa msaada wako amini uniokoe nisizame katika matope; uniokoe na hao wanaonichukia, unisalimishe kutoka vilindi vya maji.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Uniokoe katika matope, usiniache nizame; niokoe na hao wanaonichukia, kutoka kwa vilindi vya maji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uniponye kwa kunitoa matopeni, Wala usiniache nikazama. Na niponywe nao wanaonichukia, Na katika vilindi vya maji.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa msaada wako amini uniokoe nisizame katika matope; uniokoe na hao wanaonichukia, unisalimishe kutoka vilindi vya maji.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Uniokoe katika matope, usiniache nizame; niokoe na hao wanichukiao, kutoka kwenye vilindi vya maji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Uniokoe katika matope, usiniache nizame; niokoe na hao wanichukiao, kutoka kwenye vilindi vya maji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Uniponye kwa kunitoa matopeni, Wala usiniache nikazama. Na niponywe kutoka kwa wanaonichukia, Na katika vilindi vya maji.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa msaada wako amini uniokoe nisizame katika matope; uniokoe na hao wanaonichukia, unisalimishe kutoka vilindi vya maji.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mimi ninakulalamikia, Bwana, mpaka utakapopendezwa. Mungu, kwa upole wako mwingi uniitikie na kunionyesha welekevu wako nao wokovu wako!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uniponye kwa kunitoa matopeni, Wala usiniache nikazama. Na niponywe nao wanaonichukia, Na katika vilindi vya maji.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini mimi ninakuomba wewe, ee Yawe. Ee Mungu, ukubali maombi yangu wakati unaopenda. Kwa wingi wa wema wako unijibu. Wewe mukombozi anayestahili kuaminiwa,