Psalms 69:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Usiniache nikumbwe na mkondo wa maji, au nizame kwenye kilindi au nimezwe na kifo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usiache mafuriko yanigharikishe au vilindi vinimeze, au shimo lifumbe kinywa chake juu yangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mkondo usinigharikishe, wala vilindi visinimeze, Wala shimo lisifumbe kinywa chake juu yangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Usiniache nikumbwe na mkondo wa maji, au nizame kwenye kilindi au nimezwe na kifo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usiache mafuriko yanigharikishe au vilindi vinimeze, au shimo lisifumbe kinywa chake juu yangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Usiache mafuriko yanigharikishe au vilindi vinimeze, au shimo lifumbe kinywa chake juu yangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mkondo usinigharikishe, wala vilindi visinimeze, Wala Shimo lisifumbe kinywa chake juu yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Usiniache nikumbwe na mkondo wa maji, au nizame kwenye kilindi au nimezwe na kifo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitoe kwenye matope, nipate kusimama, niokoke mikononi mwao wanichukiao namo vilindini mwa maji!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mkondo usinigharikishe, wala vilindi visinimeze, Wala shimo lisifumbe kinywa chake juu yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
uniokoe nisizame katika matope; uniokoe na hao wanaonichukia, unilinde salama kutoka shimo refu la maji.