Psalms 69:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Unijibu, ee Mwenyezi-Mungu, kwa wema na fadhili zako; unielekee kwa wingi wa huruma yako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, unijibu, kwa wema wa upendo wako; kwa huruma zako nyingi unigeukie.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, unijibu, maana fadhili zako ni njema, Kwa kadiri ya rehema zako unielekee.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Unijibu, ee Mwenyezi-Mungu, kwa wema na fadhili zako; unielekee kwa wingi wa huruma yako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, unijibu, kwa wema wa upendo wako; kwa huruma zako nyingi unigeukie.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, unijibu, kwa wema wa upendo wako; kwa huruma zako nyingi unigeukie.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, unijibu, maana fadhili zako ni njema, Kwa kadiri ya rehema zako unielekee.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Unijibu, ee Mwenyezi-Mungu, kwa wema na fadhili zako; unielekee kwa wingi wa huruma yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mkondo wa maji usinididimize, wala bwawa lisinimeze! wala kisima kisinifungie njia ya kutoka!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, unijibu, maana fadhili zako ni njema, Kwa kadiri ya rehema zako unielekee.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usiniache nipelekwe na maji mengi, au nizame kwenye shimo lake, au nimezwe na kifo.