Psalms 69:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Usimfiche mtumishi wako uso wako; unijibu haraka, maana niko hatarini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usimfiche mtumishi wako uso wako, uharakishe kunijibu, kwa sababu niko katika shida.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wala usinifiche uso wako, mimi mtumishi wako, Maana mimi nimo taabuni, unijibu upesi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Usimfiche mtumishi wako uso wako; unijibu haraka, maana niko hatarini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usimfiche mtumishi wako uso wako, uharakishe kunijibu, kwa sababu niko katika shida.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Usimfiche mtumishi wako uso wako, uharakishe kunijibu, kwa sababu niko katika shida.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wala usinifiche uso wako, mimi mtumishi wako, Maana mimi nimo taabuni, unijibu upesi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Usimfiche mtumishi wako uso wako; unijibu haraka, maana niko hatarini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana, kwa upole wako ufanyao mema na uniitikie! Kwa kunionea uchungu mwingi na unigeukie!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wala usinifiche uso wako, mimi mtumishi wako, Maana mimi nimo taabuni, unijibu upesi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Yawe, unijibu, unielekee, kwa uzuri wa wema wako, kwa wingi wa rehema yako.