Psalms 69:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Unijie karibu na kunikomboa, uniokoe na maadui zangu wengi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Njoo karibu uniokoe, nikomboe kwa sababu ya adui zangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uikaribie nafsi yangu, uikomboe, Kwa sababu ya adui zangu unifidie.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Unijie karibu na kunikomboa, uniokoe na maadui zangu wengi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Njoo karibu na uniokoe, nikomboe kwa sababu ya adui zangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Njoo karibu uniokoe, nikomboe kwa sababu ya adui zangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Uikaribie nafsi yangu, uikomboe, Kwa sababu ya adui zangu unifidie.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Unijie karibu na kunikomboa, uniokoe na maadui zangu wengi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Usimfiche mtumishi wako uso wako! Kwani nimesongeka, usikawe kuniitikia!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uikaribie nafsi yangu, uikomboe, Kwa sababu ya adui zangu unifidie.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usimugeuzie mutumishi wako mugongo, unijibu haraka, maana niko katika hatari.