Psalms 69:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wewe wajua ninavyotukanwa, wajua aibu na kashfa ninazopata; na maadui zangu wote wewe wawajua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Unajua jinsi ninavyodharauliwa, kufedheheshwa na kuaibishwa, adui zangu wote unawajua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wewe umejua kulaumiwa kwangu, Na kuaibika na kufedheheka kwangu, Mbele zako Wewe wako watesi wangu wote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wewe wajua ninavyotukanwa, wajua aibu na kashfa ninazopata; na maadui zangu wote wewe wawajua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Unajua jinsi ninavyodharauliwa, kufedheheshwa na kuaibishwa, adui zangu wote unawajua.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Unajua jinsi ninavyodharauliwa, kufedheheshwa na kuaibishwa, adui zangu wote unawajua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wewe umejua kulaumiwa kwangu, Na kuaibika na kufedheheka kwangu, Mbele zako Wewe wako watesi wangu wote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wewe wajua ninavyotukanwa, wajua aibu na kashfa ninazopata; na maadui zangu wote wewe wawajua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ifikie roho yangu karibu, uikomboe! Kwa ajili ya wachukivu wangu niokoe!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wewe umejua kulaumiwa kwangu, Na kuaibika na kufedheheka kwangu, Mbele zako Wewe wako watesi wangu wote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unisogelee karibu na kunikomboa, uniokoe na waadui zangu wengi.