Psalms 69:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ninazama ndani ya matope makuu, hamna hata mahali pa kuweka miguu. Nimetumbukia kwenye kilindi cha maji, nachukuliwa na mawimbi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ninazama kwenye vilindi vya matope, pasipo mahali pa kukanyaga, Nimefika kwenye maji makuu, mafuriko yamenigharikisha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ninazama katika matope mengi, Pasipowezekana kusimama. Nimefika penye maji ya vilindi, Mkondo wa maji unanigharikisha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ninazama ndani ya matope makuu, hamna hata mahali pa kuweka miguu. Nimetumbukia kwenye kilindi cha maji, nachukuliwa na mawimbi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ninazama kwenye vilindi vya matope, pasipo mahali pa kukanyaga; nimefika kwenye maji makuu, mafuriko yamenigharikisha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ninazama kwenye vilindi vya matope, pasipo mahali pa kukanyaga, Nimefika kwenye maji makuu, mafuriko yamenigharikisha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ninazama katika matope mengi, Pasipowezekana kusimama. Nimefika penye maji ya vilindi, Mkondo wa maji unanigharikisha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ninazama ndani ya matope makuu, hamna hata mahali pa kuweka miguu. Nimetumbukia kwenye kilindi cha maji, nachukuliwa na mawimbi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani yamekuja maji ya kuipata roho yangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ninazama katika matope mengi, Pasipowezekana kusimama. Nimefika penye maji ya vilindi, Mkondo wa maji unanigharikisha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uniokoe, ee Mungu; maji yamenifikia katika shingo.