Psalms 69:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kashfa zimeuvunja moyo wangu, nami nimekata tamaa. Nimetafuta kitulizo lakini sikupata, wa kunifariji lakini sikumpata.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Dharau zimenivunja moyo na nimekata tamaa, nimetafuta wa kunihurumia, lakini sikumpata, wa kunituliza, lakini sikumpata.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Laumu imenivunja moyo, Nami ninaugua sana. Nikangoja aje wa kunihurumia, wala hakuna; Na wa kunifariji, wala sikumwona mtu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kashfa zimeuvunja moyo wangu, nami nimekata tamaa. Nimetafuta kitulizo lakini sikupata, wa kunifariji lakini sikumpata.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Dharau zimenivunja moyo na nimekata tamaa, nimetafuta wa kunihurumia, lakini sikumpata ye yote, wa kunituliza, lakini sikumpata ye yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Dharau zimenivunja moyo na nimekata tamaa, nimetafuta wa kunihurumia, lakini sikumpata, wa kunituliza, lakini sikumpata.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Laumu imenivunja moyo, Nami ninaugua sana. Nikangoja aje wa kunihurumia, wala hakuna; Na wa kunifariji, wala sikumwona mtu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kashfa zimeuvunja moyo wangu, nami nimekata tamaa. Nimetafuta kitulizo lakini sikupata, wa kunifariji lakini sikumpata.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wewe unayajua matusi na matwezo na masimango yaliyonipata, mbele yako wewe wako wote wanisongao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Laumu imenivunja moyo, Nami ninaugua sana. Nikangoja aje wa kunihurumia, wala hakuna; Na wa kunifariji, wala sikumwona mtu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe unajua ninavyotukanwa, unajua haya na matusi ninazopata; na waadui zangu wote wewe unawajua.