Psalms 69:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walinipa sumu kuwa chakula, na nilipokuwa na kiu wakanipa siki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waliweka nyongo katika chakula changu na walinipa siki nilipokuwa na kiu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakanipa uchungu kuwa chakula changu; Nami nilipokuwa na kiu wakaninywesha siki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walinipa sumu kuwa chakula, na nilipokuwa na kiu wakanipa siki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waliweka nyongo katika chakula changu na walinipa siki nilipokuwa na kiu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waliweka nyongo katika chakula changu na walinipa siki nilipokuwa na kiu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakanipa uchungu kuwa chakula changu; Na nilipokuwa na kiu wakaninywesha siki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walinipa sumu kuwa chakula, na nilipokuwa na kiu wakanipa siki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo, ninavyotukanwa vimenivunja moyo, hata nikaugua; nikangoja, kama yuko mwenye huruma, lakini hakuna; nikangoja, kama yuko mtuliza moyo, lakini sikumwona.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakanipa uchungu kuwa chakula changu; Nami nilipokuwa na kiu wakaninywesha siki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Matusi yamevunja moyo wangu, nami nimekata tamaa. Nimetafuta kitulizo lakini sikupata, nimetafuta wa kunifariji lakini sikumupata.