Psalms 69:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Karamu zao na ziwe mtego kwao, na sikukuu zao za sadaka ziwanase.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Meza iliyoandaliwa mbele yao na iwe mtego, nayo iwe upatilizo na tanzi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Meza yao mbele yao na iwe mtego; Naam, wakiwa salama na iwe tanzi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Karamu zao na ziwe mtego kwao, na sikukuu zao za sadaka ziwanase.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Meza iliyoandaliwa mbele yao na iwe mtego, nayo iwe upatilizo na tanzi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Meza iliyoandaliwa mbele yao na iwe mtego, nayo iwe upatilizo na tanzi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Meza yao mbele yao na iwe mtego; Naam, sikukuu zao sadaka ziwanase.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Karamu zao na ziwe mtego kwao, na sikukuu zao za sadaka ziwanase.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kilaji, walichonipa, ni maji ya nyongo, napo, nilipopatwa na kiu, walininywesha siki.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Meza yao mbele yao na iwe mtego; Naam, wakiwa salama na iwe tanzi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walinipa sumu ndani ya chakula, na nilipokuwa na kiu wakanipa divai inayochacha.