Psalms 69:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uwamwagie hasira yako, ghadhabu yako iwakumbe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Uwamwagie ghadhabu yako, hasira yako kali na iwapate.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uimwage ghadhabu yako juu yao, Na ukali wa hasira yako uwapate.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uwamwagie hasira yako, ghadhabu yako iwakumbe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Uwamwagie ghadhabu yako, hasira yako kali na iwapate.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Uwamwagie ghadhabu yako, hasira yako kali na iwapate.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Uimwage ghadhabu yako juu yao, Na ukali wa hasira yako uwapate.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uwamwagie hasira yako, ghadhabu yako iwakumbe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Macho yao sharti uyafanya kuwa giza, wasione kabisa, viuno vyao sharti uvitetemeshe siku zao zote!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uimwage ghadhabu yako juu yao, Na ukali wa hasira yako uwapate.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Macho yao yatiwe giza wasiweze kuona, uikunje siku zote migongo yao.