Psalms 69:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kambi zao ziachwe mahame, asiishi yeyote katika mahema yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mahali pao na pawe ukiwa, wala asiwepo yeyote atakayeishi katika mahema yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Matuo yao na yawe ukiwa, Pasiwe na mtu wa kukaa hemani mwao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kambi zao ziachwe mahame, asiishi yeyote katika mahema yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mahali pao na pawe mahame, asiwepo ye yote atakayeishi katika mahema yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mahali pao na pawe ukiwa, wala asiwepo yeyote atakayeishi katika mahema yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Makambi yao na yawe ukiwa, Pasiwe na mtu wa kukaa hemani mwao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kambi zao ziachwe mahame, asiishi yeyote katika mahema yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yamwage makali yako, yawapate, nao moto wa machafuko yako sharti uwafikie!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Matuo yao na yawe ukiwa, Pasiwe na mtu wa kukaa hemani mwao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uwamwangie hasira yako, kasirani yako iwaangukie.