Psalms 69:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana wanawatesa wale uliowaadhibu, wanawaongezea majeraha wale uliowajeruhi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa wanawatesa wale uliowajeruhi, na kuzungumza kuhusu maumivu ya wale uliowaumiza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana wanamwudhi mtu uliyempiga Wewe, Wanasimulia maumivu ya hao uliowatia jeraha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana wanawatesa wale uliowaadhibu, wanawaongezea majeraha wale uliowajeruhi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa wanawatesa wale uliowajeruhi, na kuzungumza juu ya maumivu ya wale uliowaumiza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa wanawatesa wale uliowajeruhi, na kuzungumza juu ya maumivu ya wale uliowaumiza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana wanamwudhi mtu uliyempiga Wewe, Wanazidisha maumivu ya hao uliowatia jeraha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana wanawatesa wale uliowaadhibu, wanawaongezea majeraha wale uliowajeruhi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sharti mahame tu yawe pao pa kukaa, asioneke atakayekaa hapo, walipotua!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana wanamwudhi mtu uliyempiga Wewe, Wanasimulia maumivu ya hao uliowatia jeraha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kambi zao ziachwe matongo, mutu yeyote asiishi katika mahema yao.