Psalms 69:27 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uwaadhibu kwa kila uovu wao; uwakatalie kabisa msamaha wako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walipize uovu juu ya uovu, usiwaache washiriki katika wokovu wako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uwaongezee uovu juu ya uovu, Wala wasiingie katika haki yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uwaadhibu kwa kila uovu wao; uwakatalie kabisa msamaha wako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walipize uovu juu ya uovu, usiwaache washiriki katika wokovu wako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walipize uovu juu ya uovu, usiwaache washiriki katika wokovu wako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Uwaongezee uovu juu ya uovu, Wala wasipate msamaha kutoka kwako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uwaadhibu kwa kila uovu wao; uwakatalie kabisa msamaha wako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani uliyempiga wewe, wanamkimbiza, nayo maumivu yao, uliowaumiza, wanayasimuliana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uwaongezee uovu juu ya uovu, Wala wasiingie katika haki yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana wanamutesa yule uliomwazibu, wanawaongezea maumivu wale uliowaumiza.