Psalms 69:29 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini mimi mnyonge na mgonjwa; uniinue juu, ee Mungu, uniokoe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini mimi niko katika maumivu na dhiki; Ee Mungu, wokovu wako na unihifadhi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami niliye maskini na mtu wa huzuni, Mungu, wokovu wako utaniinua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini mimi mnyonge na mgonjwa; uniinue juu, ee Mungu, uniokoe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mimi niko katika maumivu na dhiki; Ee Mungu, wokovu wako na unihifadhi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mimi niko katika maumivu na dhiki; Ee Mungu, wokovu wako na unihifadhi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami niliye maskini na mtu wa huzuni, Mungu, wokovu wako utaniinua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini mimi mnyonge na mgonjwa; uniinue juu, ee Mungu, uniokoe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sharti wafutwe katika kitabu chao walio wenye uzima, wasiandikwe pamoja nao walio waongofu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami niliye maskini na mtu wa huzuni, Mungu, wokovu wako utaniinua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uwafute katika kitabu cha wenye kuishi, wasikuwe katika hesabu ya watu wa haki.