Psalms 69:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Niko hoi kwa kupiga yowe, na koo langu limekauka. Macho yangu yamefifia, nikikungojea ewe Mungu wangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nimechoka kwa kuomba msaada, koo langu limekauka. Macho yangu yanafifia, nikimtafuta Mungu wangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nimechoka kwa kulia kwangu, Koo yangu imekauka. Macho yangu yamedhoofu Kwa kumngoja Mungu wangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Niko hoi kwa kupiga yowe, na koo langu limekauka. Macho yangu yamefifia, nikikungojea ewe Mungu wangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nimechoka kwa kuomba msaada, koo langu limekauka. Macho yangu yanafifia, nikimtafuta Mungu wangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nimechoka kwa kuomba msaada, koo langu limekauka. Macho yangu yanafifia, nikimtafuta Mungu wangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nimechoka kwa kulia kwangu, Koo langu limekauka. Macho yangu yamedhoofika Kwa kumngoja Mungu wangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Niko hoi kwa kupiga yowe, na koo langu limekauka. Macho yangu yamefifia, nikikungojea ewe Mungu wangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ninazama bwawani pabonyekapo, nisione pa kusimama, nimeingia katika vilindi vya maji, mkondo wao ukanididimiza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nimechoka kwa kulia kwangu, Koo yangu imekauka. Macho yangu yamedhoofu Kwa kumngoja Mungu wangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninazama ndani ya matope mengi, hakuna pahali pa kuweka miguu. Nimetumbukia kwenye shimo refu la maji, ninachukuliwa na maji mengi.