Psalms 69:31 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Jambo hili litampendeza Mwenyezi-Mungu zaidi, kuliko kumtolea tambiko ya ng'ombe, kuliko kumtolea fahali mzimamzima.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hili litampendeza Mwenyezi Mungu kuliko ng’ombe dume, zaidi ya fahali akiwa na pembe na kwato zake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nayo yatampendeza Bwana kuliko ng'ombe, Au ndama mwenye pembe na kwato.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Jambo hili litampendeza Mwenyezi-Mungu zaidi, kuliko kumtolea tambiko ya ng'ombe, kuliko kumtolea fahali mzimamzima.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hili litampendeza BWANA kuliko ng'ombe dume, zaidi ya fahali akiwa na pembe na kwato zake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hili litampendeza bwana kuliko ng’ombe dume, zaidi ya fahali akiwa na pembe na kwato zake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nayo yatampendeza BWANA kuliko ng'ombe, Au ndama mwenye pembe na kwato.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Jambo hili litampendeza Mwenyezi-Mungu zaidi, kuliko kumtolea tambiko ya ng'ombe, kuliko kumtolea fahali mzimamzima.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitalitukuza Jina la Mungu na kuliimbia, kwa kumshukuru nitamkuza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nayo yatampendeza BWANA kuliko ng’ombe, Au ndama mwenye pembe na kwato.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa wimbo nitalisifu jina la Mungu, nitamutukuza kwa shukrani.