Psalms 69:32 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanyonge wataona hayo na kufurahi; wanaomheshimu Mungu watapata moyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Maskini wataona na kufurahi: ninyi mnaomtafuta Mungu, mioyo yenu na iishi!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Walioonewa watakapoona watafurahi; Enyi mmtafutao Mungu, mioyo yenu ihuishwe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanyonge wataona hayo na kufurahi; wanaomheshimu Mungu watapata moyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Maskini wataona na kufurahi, ninyi mnaomtafuta Mungu, mioyo yenu na iishi!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Maskini wataona na kufurahi: ninyi mnaomtafuta Mungu, mioyo yenu na iishi!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Walioonewa watakapoona watafurahi; Enyi mmtafutao Mungu, mioyo yenu ihuishwe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanyonge wataona hayo na kufurahi; wanaomheshimu Mungu watapata moyo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivi vitampendeza Bwana kuliko ng'ombe, ijapo awe dume lenye pembe na kwato kubwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Walioonewa watakapoona watafurahi; Enyi mmtafutao Mungu, mioyo yenu ihuishwe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Jambo hili litamupendeza Yawe zaidi, kuliko kumutolea sadaka ya ngombe, kuliko kumutolea ngombe dume muzima.