Psalms 69:33 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu huwasikiliza fukara; hatawasahau kamwe watu wake wafungwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu huwasikia wahitaji wala hadharau watu wake waliotekwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa Bwana huwasikia wahitaji, Wala hawadharau wafungwa wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu huwasikiliza fukara; hatawasahau kamwe watu wake wafungwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA huwasikia wahitaji na wala hadharau watu wake waliotekwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana huwasikia wahitaji wala hadharau watu wake waliotekwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa BWANA huwasikia wahitaji, Wala hawadharau wafungwa wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu huwasikiliza fukara; hatawasahau kamwe watu wake wafungwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Maskini wakiviona watafurahi, nayo mioyo yenu ninyi mnaomtafuta Mungu na irudishwe uzimani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa BWANA huwasikia wahitaji, Wala hawadharau wafungwa wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanyenyekevu wataona hayo na kufurahi; wanaomutafuta Mungu watapata moyo.