Psalms 69:34 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Enyi mbingu na dunia msifuni Mungu; bahari na vyote vilivyomo, msifuni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mbingu na dunia zimsifu, bahari na vyote viendavyo ndani yake,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mbingu na nchi zimsifu, Bahari na vyote viendavyo ndani yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Enyi mbingu na dunia msifuni Mungu; bahari na vyote vilivyomo, msifuni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mbingu na dunia na vimsifu, bahari na vyote viendavyo ndani yake,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mbingu na dunia zimsifu, bahari na vyote viendavyo ndani yake,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mbingu na nchi zimsifu, Bahari na vyote viendavyo ndani yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Enyi mbingu na dunia msifuni Mungu; bahari na vyote vilivyomo, msifuni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani Bwana huwasikia wasio na mali, nao walio wake wakifungwa, hawabezi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mbingu na nchi zimsifu, Bahari na vyote viendavyo ndani yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe anawasikiliza wakosefu; hatawasahau hata kidogo watu wake wafungwa.