Psalms 69:35 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana Mungu atauokoa mji Siyoni, na kuijenga tena miji ya Yuda. Watu wake wataishi humo na kuimiliki;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa maana Mungu ataiokoa Sayuni na kuijenga tena miji ya Yuda. Kisha watu watafanya makao yao humo na kuimiliki,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana Mungu ataiokoa Sayuni, na kuijenga miji ya Yuda, Na watu watakaa ndani yake na kuimiliki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana Mungu atauokoa mji Siyoni, na kuijenga tena miji ya Yuda. Watu wake wataishi humo na kuimiliki;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa maana Mungu ataiokoa Sayuni na kuijenga tena miji ya Yuda. Kisha watu watafanya makao yao humo na kuimiliki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa maana Mungu ataiokoa Sayuni na kuijenga tena miji ya Yuda. Kisha watu watafanya makao yao humo na kuimiliki,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana Mungu ataiokoa Sayuni, na kuijenga miji ya Yuda, Na watu watakaa ndani yake na kuimiliki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana Mungu atauokoa mji Siyoni, na kuijenga tena miji ya Yuda. Watu wake wataishi humo na kuimiliki;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mbingu na nchi na zimtukuze, nazo bahari navyo vyote vinavyotembea humo!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana Mungu ataiokoa Sayuni, na kuijenga miji ya Yuda, Na watu watakaa ndani yake na kuimiliki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Enyi mbingu na dunia, mumusifu Mungu; bahari na vyote vinavyokuwa ndani yenu, mumusifu.