Psalms 69:36 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wazawa wa watumishi wake watairithi, wale wanaopenda jina lake wataishi humo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
watoto wa watumishi wake watairithi na wale wote wanaolipenda jina lake wataishi humo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wazao wa watumishi wake watairithi, Nao walipendao jina lake watakaa humo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wazawa wa watumishi wake watairithi, wale wanaopenda jina lake wataishi humo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watoto wa watumishi wake watairithi na wale wote walipendao jina lake wataishi humo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
watoto wa watumishi wake watairithi na wale wote walipendao jina lake wataishi humo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wazawa wa watumishi wake watairithi, Nao walipendao jina lake watakaa humo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wazawa wa watumishi wake watairithi, wale wanaopenda jina lake wataishi humo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani Mungu atauokoa Sioni atakapoijenga miji ya Yuda, watu wakae humo na kuitunza!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wazao wa watumishi wake watairithi, Nao walipendao jina lake watakaa humo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana Mungu ataokoa Sayuni, na kuijenga tena miji ya Yuda. Watu wake wataishi humo na kuirizi;