Psalms 69:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Mungu, waujua upumbavu wangu; makosa yangu hayakufichika kwako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mungu, wewe unajua upumbavu wangu, wala hatia yangu haikufichika kwako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Mungu, unajua upumbavu wangu, Wala hukufichwa dhambi yangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mungu, waujua upumbavu wangu; makosa yangu hayakufichika kwako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee Mungu, wewe unajua upumbavu wangu, wala maovu yangu hayakufichika kwako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee Mungu, wewe unajua upumbavu wangu, wala hatia yangu haikufichika kwako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee Mungu, unajua upumbavu wangu, Wala hukufichwa dhambi yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mungu, waujua upumbavu wangu; makosa yangu hayakufichika kwako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wanaonichukia bure ni wengi kuliko nywele za kichwani pangu, adui zangu watakao kunimaliza kwa kunionea wamepata nguvu, nashurutishwa kuyarudisha nisiyoyapokonya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee Mungu, unajua upumbavu wangu, Wala hukufichwa dhambi yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wengi kuliko nywele zangu wananichukia. Wana nguvu sana hao wanaotaka kuniua, hao wanaonishambulia kwa mambo ya uongo. Nirudishe kitu ambacho sikuiba?