Psalms 69:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanaokutumainia wasiaibishwe kwa sababu yangu, ee Bwana Mwenyezi-Mungu wa majeshi; wanaokutafuta, wasione fedheha kwa sababu yangu ee Mungu wa Israeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni, wanaokutumaini wasiaibishwe kwa ajili yangu; wanaokutafuta wasifedheheshwe kwa ajili yangu, Ee Mungu wa Israeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wanaokungoja Wewe wasiaibishwe, Kwa ajili yangu, Bwana, MUNGU wa majeshi. Wanaokutafuta Wewe wasifedheheshwe, Kwa ajili yangu, Ee Mungu wa Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanaokutumainia wasiaibishwe kwa sababu yangu, ee Bwana Mwenyezi-Mungu wa majeshi; wanaokutafuta, wasione fedheha kwa sababu yangu ee Mungu wa Israeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee Bwana, BWANA Mwenye Nguvu Zote, wakutumainio wasiaibishwe kwa ajili yangu; wakutafutao wasifedheheshwe kwa ajili yangu, Ee Mungu wa Israeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee Bwana, ewe bwana Mwenye Nguvu Zote, wakutumainio wasiaibishwe kwa ajili yangu; wakutafutao wasifedheheshwe kwa ajili yangu, Ee Mungu wa Israeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wanaokungoja Wewe wasiaibishwe, Kwa ajili yangu, Bwana, MUNGU wa majeshi. Wanaokutafuta Wewe wasifedheheshwe, Kwa ajili yangu, Ee Mungu wa Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanaokutumainia wasiaibishwe kwa sababu yangu, ee Bwana Mwenyezi-Mungu wa majeshi; wanaokutafuta, wasione fedheha kwa sababu yangu ee Mungu wa Israeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wewe Mungu unaujua upumbavu wangu, nazo manza, nilizozikora, hazikufichika kwako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wanaokungoja Wewe wasiaibishwe, Kwa ajili yangu, Bwana, MUNGU wa majeshi. Wanaokutafuta Wewe wasifedheheshwe, Kwa ajili yangu, Ee Mungu wa Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Mungu, unajua upumbafu wangu; makosa yangu hayafichwi mbele yako.