Psalms 69:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa ajili yako nimefedheheshwa, aibu imefunika uso wangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana nimestahimili dharau kwa ajili yako, aibu imefunika uso wangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana kwa ajili yako nimestahimili laumu, Fedheha imenifunika uso wangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa ajili yako nimefedheheshwa, aibu imefunika uso wangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana nimestahimili dharau kwa ajili yako, aibu imefunika uso wangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana nimestahimili dharau kwa ajili yako, aibu imefunika uso wangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana kwa ajili yako nimestahimili laumu, Fedheha imenifunika uso wangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa ajili yako nimefedheheshwa, aibu imefunika uso wangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Usiache, kwa ajili yangu mimi wapatwe na soni wakungojeao wewe, Bwana Mungu Mwenye vikosi! Kwa ajili yangu mimi wasisimangike wakutafutao wewe, Mungu wa Isiraeli!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana kwa ajili yako nimestahimili laumu, Fedheha imenifunika uso wangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanaokutumainia wasifezeheke kwa sababu yangu, ee Bwana wetu, Yawe wa majeshi; wanaokutafuta, wasizarauliwe kwa sababu yangu, ee Mungu wa Israeli.