Psalms 69:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nimekuwa mgeni kwa ndugu zangu, kaka na dada zangu hawanitambui.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nimekuwa mgeni kwa ndugu zangu, mgeni kwa wana wa mama yangu mwenyewe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nimekuwa mgeni kwa ndugu zangu, Na msikwao kwa wana wa mama yangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nimekuwa mgeni kwa ndugu zangu, kaka na dada zangu hawanitambui.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nimekuwa mgeni kwa ndugu zangu, mgeni kwa wana wa mama yangu mwenyewe,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nimekuwa mgeni kwa ndugu zangu, mgeni kwa wana wa mama yangu mwenyewe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nimekuwa mgeni kwa ndugu zangu, Na asiyetambuliwa na wana wa mama yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nimekuwa mgeni kwa ndugu zangu, kaka na dada zangu hawanitambui.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani ni kwa ajili yako wewe, nikivumilia mabezo, ijapo soni ije kuufunika uso wangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nimekuwa mgeni kwa ndugu zangu, Na msikwao kwa wana wa mama yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa ajili yako ninavumilia matusi; haya imefunika uso wangu.