Psalms 69:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Upendo wangu kwa nyumba yako unanimaliza. Kashfa zote wanazokutolea wewe zimenipata mimi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa wivu wa nyumba yako unanila, matukano ya wale wanaokutukana yameniangukia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana wivu wa nyumba yako umenila, Na laumu zao wanaokulaumu zimenipata.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Upendo wangu kwa nyumba yako unanimaliza. Kashfa zote wanazokutolea wewe zimenipata mimi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa kuwa wivu wa nyumba yako unanila, matukano ya wale wanaokutukana yameniangukia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa wivu wa nyumba yako unanila, matukano ya wale wanaokutukana yameniangukia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana mvuto wa nyumba yako umenila, Na laumu zao wanaokulaumu zimenipata.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Upendo wangu kwa nyumba yako unanimaliza. Kashfa zote wanazokutolea wewe zimenipata mimi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nimekwisha kuwa mgeni kwao ndugu zangu, watoto wa mama yangu hawanijui, kama si mtu wa kwao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana wivu wa nyumba yako umenila, Na laumu zao wanaokulaumu zimenipata.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nimekuwa mugeni kwa wandugu zangu, kaka na dada zangu hawanitambui.