Psalms 7:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Ombolezo la Daudi kwa sababu ya Kushi wa kabila la Benyamini) Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu, nakimbilia usalama kwako; uniokoe na wote wanaonidhulumu, unisalimishe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, Mungu wangu, ninakukimbilia wewe, uniokoe na kunikomboa na wote wanaonifuatia,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana, Mungu wangu, nimekukimbilia Wewe, Uniokoe na wote wanaonifuatia, uniponye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu, nakimbilia usalama kwako; uniokoe na wote wanaonidhulumu, unisalimishe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Ombolezo La Daudi Kwa Mungu Kwa Sababu Ya Kushi, Mbenyamini) Ee BWANA, Mungu wangu, ninakukimbilia wewe, uniokoe na kunikomboa na wote wanaonifuatia,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, Mungu wangu, ninakukimbilia wewe, uniokoe na kunikomboa na wote wanaonifuatia,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA, Mungu wangu, nimekukimbilia Wewe, Uniokoe na wote wanaonifuatia, uniponye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu, nakimbilia usalama kwako; uniokoe na wote wanaonidhulumu, unisalimishe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana Mungu wangu, nimekukimbilia wewe. Nisaidie, uniokoe mikononi mwao wote wanikimbizao!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA, Mungu wangu, nimekukimbilia Wewe, Uniokoe na wote wanaonifuatia, uniponye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa mukubwa wa waimbaji. Wimbo wa malalamiko ya Daudi, aliomwimbia Yawe kwa ajili ya Kushi wa kabila la Benjamina.