Psalms 7:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mungu ndiye ngao yangu; yeye huwaokoa wanyofu wa moyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ngao yangu ni Mungu Aliye Juu Sana, anayewaokoa wanyofu wa moyo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ngao yangu ina Mungu, Awaokoaye wanyofu wa moyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu ndiye ngao yangu; yeye huwaokoa wanyofu wa moyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ngao yangu, ni Mungu Aliye Juu Sana, awaokoaye wanyofu wa moyo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ngao langu ni Mungu Aliye Juu Sana, awaokoaye wanyofu wa moyo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ngao yangu ina Mungu, Awaokoaye wanyofu wa moyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu ndiye ngao yangu; yeye huwaokoa wanyofu wa moyo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ngao yangu iko kwake Mungu, naye huwaokoa wao wanyokao mioyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ngao yangu ina Mungu, Awaokoaye wanyofu wa moyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ukomeshe uovu wa watu wabaya, uwaimarishe watu wa haki, ee Mungu unayetenda haki, unayejua siri za mioyo na mafikiri ya watu.