Psalms 7:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mungu ni hakimu wa haki; kila siku hulaumu maovu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mungu ni mwamuzi mwenye haki, Mungu anayeghadhibika kila siku.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mungu ni mwamuzi mwenye haki, Naam, Mungu aghadhibikaye kila siku.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu ni hakimu wa haki; kila siku hulaumu maovu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mungu ni mwamuzi mwenye haki, Mungu aghadhibikaye kila siku.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mungu ni mwamuzi mwenye haki, Mungu aghadhibikaye kila siku.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mungu ni mwamuzi mwenye haki, Naam, Mungu akasirikiaye waovu kila siku.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu ni hakimu wa haki; kila siku hulaumu maovu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mungu ni mwamuzi mwenye wongofu, ni Mungu atishaye kila siku:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mungu ni mwamuzi mwenye haki, Naam, Mungu aghadhibikaye kila siku.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu ndiye ngao yangu; yeye anawaokoa watu wenye moyo wa usawa.