Psalms 7:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wasipoongoka, Mungu atanoa upanga wake; atavuta upinde wake na kulenga shabaha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtu asipotubu, Mungu ataunoa upanga wake, ataupinda na kuufunga uzi upinde wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtu asiporejea ataunoa upanga wake; Ameupinda uta wake na kuuweka tayari;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wasipoongoka, Mungu atanoa upanga wake; atavuta upinde wake na kulenga shabaha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama hakutuhurumia, atanoa upanga wake, atainama na kufyatua upinde wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama hakutuhurumia, atanoa upanga wake, ataupinda na kuufunga uzi upinde wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtu asipoongoka ataunoa upanga wake; Ameupinda uta wake na kuuweka tayari;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wasipoongoka, Mungu atanoa upanga wake; atavuta upinde wake na kulenga shabaha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
mtu akikataa kugeuka, ataunoa upanga wake, nao uta wake ataupinda na kuuelekeza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtu asiporejea ataunoa upanga wake; Ameupinda uta wake na kuuweka tayari;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu ni mwamuzi wa haki; kila siku analaumu maovu.