Psalms 7:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Atatayarisha silaha zake za hatari, na kuipasha moto mishale yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ameandaa silaha zake kali, ameweka tayari mishale yake ya moto.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye amemtengenezea silaha za kufisha, Akifanya mishale yake kuwa ya moto.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Atatayarisha silaha zake za hatari, na kuipasha moto mishale yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ameandaa silaha kali, ameweka tayari mishale yake ya moto.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ameandaa silaha zake kali, ameweka tayari mishale yake ya moto.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye amemtengenezea silaha za kuua, Akifanya mishale yake kuwa mipini ya moto.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Atatayarisha silaha zake za hatari, na kuipasha moto mishale yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Vyombo viuavyo ndivyo, atakavyopachika humo, nayo mishale yake ataiwakisha moto.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye amemtengenezea silaha za kufisha, Akifanya mishale yake kuwa ya moto.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wasipogeuka toka ubaya wao, Mungu atanoa upanga wake; atavuta upinde wake na kupima shabaha.