Psalms 7:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tazama! Mtu mbaya hutunga uovu, hujaa uharibifu na kuzaa udanganyifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeye aliye na mimba ya uovu na anayechukua mimba ya ghasia huzaa uongo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, huyu ana utungu wa uovu, Amechukua mimba ya madhara, amezaa uongo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tazama! Mtu mbaya hutunga uovu, hujaa uharibifu na kuzaa udanganyifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeye aliye na mimba ya ubaya na achukuaye mimba ya ghasia huzaa uongo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeye aliye na mimba ya uovu na achukuaye mimba ya ghasia huzaa uongo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, huyu ametunga uovu, Amechukua mimba ya madhara, amezaa uongo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tazama! Mtu mbaya hutunga uovu, hujaa uharibifu na kuzaa udanganyifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwenye kujifunga, atokeze kiovu, mtazameni: huwa kama mwenye mimba ya kuzaa maumivu, lakini anapozaa, ni madanganyo ya kumdanganya yeye!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, huyu ana utungu wa uovu, Amechukua mimba ya madhara, amezaa uongo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Atatayarisha silaha zake za hatari, na kuitia mishale yake moto.