Psalms 7:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huchimba shimo, akalifukua, kisha hutumbukia humo yeye mwenyewe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeye anayechimba shimo na kulifukua hutumbukia katika shimo alilochimba mwenyewe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Amechimba shimo, amelichimba chini sana, Akatumbukia katika handaki aliyoifanya!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huchimba shimo, akalifukua, kisha hutumbukia humo yeye mwenyewe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeye achimbaye shimo na kulifukua hutumbukia katika shimo alilochimba mwenyewe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeye achimbaye shimo na kulifukua hutumbukia katika shimo alilochimba mwenyewe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Amechimba shimo, amelichimba chini sana, Akatumbukia katika handaki aliyoichimba!
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huchimba shimo, akalifukua, kisha hutumbukia humo yeye mwenyewe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akiwa amechimba shimo na kulitanua, hutumbukia mwenyewe mlemle mwenye mwina, alioutengeneza yeye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Amechimba shimo, amelichimba chini sana, Akatumbukia katika handaki aliyoifanya!
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutu mubaya anatunga uovu, anajaa uharibifu na kuzaa udanganyifu.