Psalms 7:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uharibifu wake utamrudia yeye mwenyewe; ukatili wake utamwangukia yeye binafsi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ghasia anazozianzisha humrudia mwenyewe, ukatili wake humrudia kichwani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Madhara yake yatamrejea kichwani pake, Na dhuluma yake itamshukia utosini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uharibifu wake utamrudia yeye mwenyewe; ukatili wake utamwangukia yeye binafsi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ghasia azianzishazo humrudia mwenyewe, ukatili wake humrudia kichwani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ghasia azianzishazo humrudia mwenyewe, ukatili wake humrudia kichwani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Madhara yake yatamrejea kichwani pake, Na dhuluma yake itamshukia utosini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uharibifu wake utamrudia yeye mwenyewe; ukatili wake utamwangukia yeye binafsi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Maumivu yake ya kuumiza wengine humrudia kichwani pake, nayo makorofi yake humshukia utosini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Madhara yake yatamrejea kichwani pake, Na dhuluma yake itamshukia utosini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anachimba shimo, na kulirefusha, kisha anatumbukia humo yeye mwenyewe.