Psalms 7:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitamshukuru Mwenyezi-Mungu kwani ni mwema; nitaimba sifa za jina la Mwenyezi-Mungu, Mungu Mkuu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitamshukuru Mwenyezi Mungu kwa ajili ya haki yake, na nitaliimbia sifa jina la Mwenyezi Mungu Aliye Juu Sana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nitamshukuru Bwana kwa kadiri ya haki yake; Nitaliimbia jina la Bwana aliye juu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitamshukuru Mwenyezi-Mungu kwani ni mwema; nitaimba sifa za jina la Mwenyezi-Mungu, Mungu Mkuu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitamshukuru BWANA kwa ajili ya haki yake, na nitaliimbia sifa jina la BWANA Aliye Juu Sana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitamshukuru bwana kwa ajili ya haki yake, na nitaliimbia sifa jina la bwana Aliye Juu Sana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nitamshukuru BWANA kwa kadiri ya haki yake; Nitaliimbia jina la BWANA aliye juu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitamshukuru Mwenyezi-Mungu kwani ni mwema; nitaimba sifa za jina la Mwenyezi-Mungu, Mungu Mkuu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa ajili ya wongofu wake namshukuru Bwana, naliimbia Jina lake Bwana Alioko huko juu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nitamshukuru BWANA kwa kadiri ya haki yake; Nitaliimbia jina la BWANA aliye juu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uharibifu wake utamurudilia yeye mwenyewe; ukali wake utamwangukia yeye mwenyewe.